Unknown Unknown Author
Title: ALIYEJERUHIWA KWENYE MAUAJI YA POLISI AONGEA HAYA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
SSSSSSSSSSSSS Usiku wa August 23 2016 moja ya tukio lililotawala katika baadhi ya mitandao ya kijamii ni pamoja na kuuwawa kwa Aska...
Usiku wa August 23 2016 moja ya tukio lililotawala katika baadhi ya mitandao ya kijamii ni pamoja na kuuwawa kwa Askari Polisi wanne Mbande nje kidogo ya Dar es salaam baada ya majambazi kuvamia eneo lililokaribu na Bank ya CRDB.
 Ally Kiyonda ambaye  ni raia wa kawaida anasema…>>>’Walikuja majambazi wakiwa na pikipiki kama tano wakiwa wamepakizana huku kila mmoja akiwa na bunduki yake
Walivyofika walionyeshea silaha zao eneo la bank ya CRDB na baadae wakaanza kupiga risasi upande wetu hivyo moja ikanipiga katika mguu‘ –Ally Kiyonda
Unaweza kuendelea kumsikiliza na kumtazama kwenye hii video hapa chini…

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top