Unknown Unknown Author
Title: DEREVA BODABODA AJINYONGA BAADA YA KUNYIMWA SEX
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dereva wa Boda Boda aliejulikana kwa jina la Jesse Gatero (25) mkazi wa "Shauri Moyo" Nairobi, amekutwa amejinyonga kwenye nyumba...

Dereva wa Boda Boda aliejulikana kwa jina la Jesse Gatero (25) mkazi wa "Shauri Moyo" Nairobi, amekutwa amejinyonga kwenye nyumba aliyopanga saa moja baada ya mzozo na mke wake mwenye umri wa miaka 23.

Mke wa Marehemu Gatero, Cecilia Wanjiku amewaeleza Polisi kuwa Gatero alifika nyumbani akiwa amelewa majira ya saa 8 usiku siku ya Jumamosi na kuanza kudai tendo la ndoa.
Lakini Cecilia alikataa kitendo hicho maana alikuwa kwenye siku zake za mwezi.
Cecilian Anasema kwamba baada ya kumkatalia tendo hilo ndipo Marehemu Gatero alipoanzisha vurugu na kupelekea mke huyo kukimbilia kwa Jirani ili kujinusuru.
Alirudi nyumbani baada ya dakika 45 kumtazama Gatero na ndipo alipomkuta amejinyonga kwa shuka
Chanzo hassbaby mapacha page

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top