Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND PLATINUM KUKUTANA USO KWA USO NA ALI KIBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Tuzo za AFRIMA 2016zimewania na Tanzania imeweka mastaa tofauti akiwemo Diamond na Ali kiba. Tuzo hizi zitatolewa November 2016 mjini Lago...
Diamond na Ali Kiba watajwa kushindania Kipengele kimoja kwenye tuzo za AFRIMA 2016.
Tuzo za AFRIMA 2016zimewania na Tanzania imeweka mastaa tofauti akiwemo Diamond na Ali kiba. Tuzo hizi zitatolewa November 2016 mjini Lagos, Nigeria.
Diamond Platnumz na Alikiba watachuana mwaka huu kuwania kipengele cha Best Male Eastern Africa kwenye tuzo hizi za All Africa Music [Awards] 2016.
Diamond na Ali Kiba wana wania tuzo hizi pamoja na mastaa kama Bebe Cool, Eddy Kenzo, Jose Chameleone na Navio wa Uganda.
tz 1 tz 2

Source times fm page

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top