Usiku wa August 26 2016 ilikua ni zamu ya Kahama 87.5 kushuhuhudia tamasha la Fiesta 2016 ambapo kulikuwa na list ndefu ya wasanii kutoka bongoflevani, kama hukubahatika kuwa kwenye Fiesta Kahama, Nimekuwekea picha za fiesta 2016 kahama ilivyokuwa pia usisahau kuniacha comment yako
Mashabiki

Maua sama

Msami

Jux

Chegge

Darasa
Mr blue
Na wengineo wengi waliopaform
Chanzo millardayo
Post a Comment