Unknown Unknown Author
Title: Isikupite ya askari wa Congo wanavyosimamisha magari kwa kutega misumari
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtu wangu wa nguvu ambaye hujawahi kufika  Lubumbashi DRC Congo  hii inaweza ikakushangaza kidogo, askari wa usalama wa barabarani  Lubumb...

Mtu wangu wa nguvu ambaye hujawahi kufika Lubumbashi DRC Congo hii inaweza ikakushangaza kidogo, askari wa usalama wa barabarani Lubumbashi wanatumia chuma chenye vitu vyenye ncha kali kusimamisha magari barabarani ili kuyafanyia uchunguzi.
Naambiwa Lubumbashi ukimsimamisha dereva wa gari pasipo kumuwekea hivyo hawezi kusimama tofauti na kwetu Tanzania ambapo trafiki wamekuwa wakisimamisha magari kwa kupunga mkono tu bila kuweka kizuizi chochote na dereva ana heshimu na kusimama, hivyo chuma kile kinamfanya asimame bila kupenda kwa kuogopa kutoboa matairi yake.
Nimekusogezea video niliyojaribu kurekodi kwa siri mtu kukiwa na chuma chenye misumari na pikipiki ya polisi ikiwa pembeni

 Kifaa kinachotumika Restaurant za Lubumbashi kumjulisha mteja chakula chake tayari



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top