Unknown Unknown Author
Title: KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA CALL CENTRE KUTOKA CRDB
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Benki ya CRDB inawataarifu kuwa, kituo chetu cha huduma kwa wateja kwa njia ya mawasiliano ya simu (Call Centre) kitafunguliwa saa 2 asub...
Benki ya CRDB inawataarifu kuwa, kituo chetu cha huduma kwa wateja kwa njia ya mawasiliano ya simu (Call Centre) kitafunguliwa saa 2 asubuhi na kufungwa saa 7 mchana siku ya Jumamosi na hakitofunguliwa mpaka Jumatatu saa 12 Asubuhi. Tuko katika mkakati wa kuboresha huduma zetu na tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
SOURCE BY CRDB BANK PLC

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top