Unknown Unknown Author
Title: KUVAA NGUO VUPI YAMTOKEA PUANI DADA HUYU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa ...

Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha viungo adimu katika mwili...Huyu Dada alimfika baada ya kuvaa kimini na kukatiza mitaaa bila woga ....Ona kundi ka wanaume wenye uchi wakimfuata nyuma huku mate yakiwadondoka.....Mweeeee
Source

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top