LISSU AIBUKA KIDEDEA TENA MAHAKAMANI
**Serikali imepigwa mweleka katika kesi ya uchochezi dhidi ya mshtakiwa Tundu Lissu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutupa pingamizi la Wakili wa Serikali kutaka wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea mwanasiasa huyo.
Post a Comment