Chama cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar kimetaka Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif kuzuiwa na Serikali kuhudhuria hafla za kitaifa.
- Kimetoa kauli hiyo sababu ya Maalim Seif kukataa kumpa mkono Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Shein walipokutana kwenye msiba wa Rais wa pili wa visiwa hivyo, Aboud Jumbe
Zaidi, soma => https://goo.gl/4Zq0lo
Post a Comment