Unknown Unknown Author
Title: Ni njia gani zinazoweza kukufanya kutojihusisha na mapenzi katika umri mdogo?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bajary ni kijana ambaye ameweza kujitunza tangu utoto wake bila kuwa kwenye uhusiano na mwanamke yeyote,mwandishi wangu alipojaribu kumhoji ...
Bajary ni kijana ambaye ameweza kujitunza tangu utoto wake bila kuwa kwenye uhusiano na mwanamke yeyote,mwandishi wangu alipojaribu kumhoji ni mambo gani aliyozingatia mpaka kuweza kufikia umri wa miaka 25 bila ya kutokuwa na uhusiano na mwanamke,hayo ndio aliyosema

1.Kufanya mazoezi kila siku. Hii inasaidia kwa asilimia kubwa sana kuondoa hisia za kimapenzi kwa sababu unaondoa mawazo mengi ya kuwa karibu na mwanamke ule muda ambao ungekuwa huru bila kufanya mazoezi.

2.Kujishughulisha kwa kufanya kazi kutofauti tofauti ili kuepuka kuwaza mambo ya kimapenzi

3.Kuwa mtu wa ibada, hiyo inasaidia kuepuka mambo ya kimapenzi kwa sababu,vitabu vitakatifu haviruhusu hayo mambo katika umri mdogo.

About Author

Advertisement

Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

 
Top