Unknown Unknown Author
Title: Serikali imetangaza kuvifungia vituo viwili vya radio kwa makosa ya uchochezi
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo  Nape Nnauye  ametangaza kuvifungia vituo viwili vya radio kwa muda usiojulikana ambavyo ni  ...

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye ametangaza kuvifungia vituo viwili vya radio kwa muda usiojulikana ambavyo ni Magic Fm ya Dar es salaam naRadio 5 ya Arusha kwa makosa ya kutangaza na kutoa habari za kichochezi.
Lakini pia Waziri Nape amesema huku adhabu hiyo ikianza leo August 29 2016 pia ameiagiza kamati yake kuviita vyombo hivyo kwa ajili ya kuzungumza navyo kisha maamuzi mengine ya kisheria yatachukuliwa
Source millardayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top