Unknown Unknown Author
Title: TAARIFA JUU YABELLE 9 KUJIUNGA NA WCB
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani Belle 9 yuko  tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya  Dia...

Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani Belle 9 yuko  tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya  Diamond Platnumz, August 24,2016 2016, Belle 9 akatoa majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga WCB.
Watu walitafsiri hivyo ila mimi nilienda kumtembelea kwasababu ninakubali anachokifanya mimi ni msanii ninayeweza kumtembelea msanii yoyote na wala sina makundi na wala sijajiunga WCB mimi bado niko kwenye uongozi wangu
Source millardayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top