Unknown Unknown Author
Title: TAARIFA KUHUSU HUKUMU YA BABU TALE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hukumu ya kesi inayomkabili Babu Tale, ambaye ni Meneja wa Mwanamuziki wa kizazi kipya/Bongo Fleva, Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dango...

Babu-Tale (1)

Hukumu ya kesi inayomkabili Babu Tale, ambaye ni Meneja wa Mwanamuziki wa kizazi kipya/Bongo Fleva, Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote,  ya kusambaza na kuuza DVD za mawaidha ya Shehe Hamis Mbonde bila ridhaa yake imeahirishwa tena leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam mpaka Septemba 12, 2016.
Kwa mujibu wa Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mustapha Sian alisema sababu kubwa ya kuahirishwa kwa kesi hiyo ni kwamba Msajili Projest Kahyoza, aliyetakiwa kuitolea hukumu kesi hiyo ambaye hakuwepo mahakamani kikazi.
Katika kesi hii Babu Tale, pamoja na mdogo wake anayeunda kundi la Tip Top Connection wanatakiwa kuieleza mahakama kwa nini wasifungwe jela ama kumlipa Shehe Mbonde kiasi cha Sh. Milioni 250
Source masanja mkandamizaji page

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top