Unknown Unknown Author
Title: WAZEE WAMUOMBA KALA JEREMIAH KUGOMBEA UBUNGE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Star wa Hip Hop Bongo anayetamba na wimbo wake wa ‘Wana Ndoto’, Kala Jeremiah amesema muda bado kwa yeye kujiingiza kwenye siasa na ...

Kala Jeremiah: Nimeshaombwa sana na wazee nigombee Ubunge, lakini nimekataa kwa sababu muda bado.


Star wa Hip Hop Bongo anayetamba na wimbo wake wa ‘Wana Ndoto’, Kala Jeremiah amesema muda bado kwa yeye kujiingiza kwenye siasa na kugombea Ubunge japo kuwa ameshaombwa sana na wazee agombee na kuwa kiongozi wa Watanzania.
Akizungumza kupitia kipindi cha Hatua Tatu cha Times Fm asubuhi hii, Kala amedai anaogopa kuwa Mbunge wa Jimbo moja amabalo atalitazama zaidi na kuwasahau Watanzania wa maeneo mengine.
“Nimeshaombwa sana na Wazee, sana na wakina mama, na jamii inataka nigombee Ubunge, lakini mimi kwa sasa bado, unajua nikiwa Mbunge nitakuwa najihusisha na jimbo moja tu nitawasahau Watanzania wengine.
“Japo nitaendelea kukataa lakini itafika muda nitakubali maana wazee bado wataendelea kuniomba kwa hiyo nitakuwa sina jinsi” Amesema.
Chanzo timesfmpage



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top