Unknown Unknown Author
Title: WOTE WALIOFURAHIA KUUAWA KWA POLISI WAKO MATATANI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Moja ya headline zilizochukua nafasi kuanzia usiku wa August 23 2016 ni pamoja na tukio la mauaji ya Askari Polisi wanne katika shambulizi...

Moja ya headline zilizochukua nafasi kuanzia usiku wa August 23 2016 ni pamoja na tukio la mauaji ya Askari Polisi wanne katika shambulizi lililofanywa na majambazi katika Bank ya CRDB Mbande, Dar es salaam.
Leo August 25 2016 baadhi viongozi wa Serikali akiwemo Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu NchembaMkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makondawameungana na watanzania wengine kuaga miili hiyo ya marehemu.
Hapa nakukutanisha na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchembaaliposimama kuongea na waombolezaji ambapo pia ametaka wale wote walioshiriki kuandika mambo ya kufurahishwa katika tukio hilo wakamatwe.
Source millardayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top