Unknown Unknown Author
Title: Abadilisha chupa kuwa glasi ya maji Kenya
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Je, wajua kuwa chupa ambayo uliwahi tupa huenda ikatumika kama glasi ya maji na mwengine? Mjini Kilifi Kenya, jamaa mmoja anafanya kazi ya...
Abadilisha chupa kuwa glasi ya maji Kenya

Je, wajua kuwa chupa ambayo uliwahi tupa huenda ikatumika kama glasi ya maji na mwengine? Mjini Kilifi Kenya, jamaa mmoja anafanya kazi ya kuhifadhi mazingira kwa kukusanya chupa zilizotupwa na maganda ya nazi, na kutengeneza vifaa vya kutumika nyumbani. Ferdinand Omondi alizuru Kilifi na kuandaa taarifa hii.
bbc

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top