Unknown Unknown Author
Title: Atakayekuwa anafanya kazi nyingine siku ya usafi atozwe faini au awekwe rumande
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Naibu waziri anayehusika na mazingira amesema wananchi ambao hawatashiriki usafi kwenye siku iliyotengwa ya usafi basi mtu huyo apigwe faini...
Naibu waziri anayehusika na mazingira amesema wananchi ambao hawatashiriki usafi kwenye siku iliyotengwa ya usafi basi mtu huyo apigwe faini kubwa au kuwekwa rumande
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Hashim Mgadilwa naye amewaweka ndani vijana wawili ambao walikuwa wanaendelea na shughuli nyingine wakati wa zoezi la kufanya usafi
Pia mkuu huyo wa wilaya ametangaza kutoa zawadi ya shilingi 5O,OOO kwa yeyote ambaye ataripoti mtu anayetupa taka hovyo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top