Unknown Unknown Author
Title: Diamond Platnumz ana collabo inakuja na rapa mkali kutoka Marekani
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa ssa yupo nchini Marekani   Diamond Platnumz akifanya video ya wimbo wake na Neyo amethibitisha kuwa anakuja...

Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa ssa yupo nchini Marekani  Diamond Platnumzakifanya video ya wimbo wake na Neyo amethibitisha kuwa anakuja na rekodi mpya na Rapa Yo Gotti.
Kupitia Instagra yake leo September 5, 2016 Diamond Platnumz ameandika maneno haya “One of the Realist G i ever met…. can’t wait for our Record….Let’s go get em fam!???? @Yogottikom “

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top