Unknown Unknown Author
Title: Diamond Platnumz kampost Wema Sepetu kwa mara nyingine Instagram
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama unakumbuka   July 5, 2016  mwimbaji staa wa bongofleva  Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kupost kwenye ...

Kama unakumbuka  July 5, 2016 mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumzaliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu watu kujitokeza kwa wingi kwenye show ambayo imeandaliwa na mpenzi wake wa zamaniWema Sepetu pamoja na Christian Bella na Idris.
Leo September 22 2016Diamond Platnumz amekuwa akipost videos za mashabiki wake wakiimba hit yake mpya ya ‘Salome’,  amezikamata tena headlines kwa kupost video ya Wema Sepetu akiimbia wimbo huo na kuandika caption hii 
>>”Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini….??? Tisha sana#SALOME wake @idrissultan full Video link in my BIO and @rayvanny BIO☝…..Shukran sana @vodacomtanzaniakwa intanet yenye kasi Zaidi inayoniwezesha kuwapa habari Mashabiki zangu Mara kwa Mara…#VodacomKaziNiKwako#VodacomHapaKasitu”

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top