Unknown Unknown Author
Title: Dkt Jakaya kikwete kuzindua nyumba za yamoto band
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni Mkurugenzi wa Yamoto Band, Said Fella ambae hivi karibuni alizimiliki headlines  baada ya kuzionesha nyumba nne mpya  mbele ya waandish...

Ni Mkurugenzi wa Yamoto Band, Said Fella ambae hivi karibuni alizimiliki headlines  baada ya kuzionesha nyumba nne mpya  mbele ya waandishi wa habari alizowajengeaYamoto Band.
Nyumba hizo nne zipo Mbande Kisewe Chalinze Dar es Salaam ambapo muda wowote zitazinduliwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.
Itazame hii video hapa uone nyumba hizo nne za Yamoto Band



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top