Unknown Unknown Author
Title: Kocha Claude LeRoy wa Togo anusurika kwenda jela
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kocha wa timu ya Taifa ya Togo, Claude LeRoy chupu chupu kuingia jela badala yake amepigwa faini, kwa kuhusika katika uhamisho wa uongo wak...
Kocha wa timu ya Taifa ya Togo, Claude LeRoy chupu chupu kuingia jela badala yake amepigwa faini, kwa kuhusika katika uhamisho wa uongo wakati alipokuwa kocha wa Racing Club de Strasbourg, ya Ufaransa.
000_par7457070_0

LeRoy, alikuwa akiifundisha klabu hiyo, kati ya 1998 hadi 2003, aliagizwa na mahakama kuu ya Strasbourg kulipa pauni 12,790 (Takribani shilingi milioni 36.8).
Kocha huyo anadaiwa kujihusisha katika kughushi sahihi na majina ya uwongo katika uhamisho wa wachezaji wanne.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top