Unknown Unknown Author
Title: Lipumba kuhamia ACT-Wazalendo
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Siku ya jana September 5 2016 zilisambaa taarifa zilizodai kuwa chama cha ACT-Wazalendo kipo kwenye kikao cha kujiandaa kumpokea aliyekuwa...

Siku ya jana September 5 2016 zilisambaa taarifa zilizodai kuwa chama cha ACT-Wazalendo kipo kwenye kikao cha kujiandaa kumpokea aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba kwamba atahamia kwenye chama hicho.
Sasa leo September 6 2016 chama hicho kimekutana na waandishi wa habari ambapo katika mkutano huo, kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe amejibu kuhusu taarifa zilizosambaa zkwamba Prof. Lipumba atahamia chama hicho, Zitto amesema……
>>>’Chama chetu sisi ni cha uwazi kwa hiyo tusingependa watu ambao wanatuwekea maneno, watu ambao wanatabiri vitu ambavyo kimsingi havipo kwa malengo yao, kwa mfano hizo fununu zilizosambazwa jana zilikuwa ni fununu zenye malengo hasi



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top