Unknown Unknown Author
Title: Maneno ya Jeshi la Polisi kuhusu kumwachia Afande Sele
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama zilIkupita headline za msanii mkongwe wa Bongoflevani  Afande Sele  kukamatwa na Jeshi la Polisi huko Morogoro  August 31 2016  kwa k...

Kama zilIkupita headline za msanii mkongwe wa Bongoflevani Afande Sele kukamatwa na Jeshi la Polisi huko Morogoro August 31 2016 kwa kosa la  kuhamasisha watu kufanya mandamano ya ukuta September mosi, Leo September 3 2016 Afande Sele ameachiwa kwa dhamana Polisi wametoa kauli hii kuhusu kuachia kwake.
Amepewa dhamana kwahiyo yupo nje kwa dhamana na uchunguzi unandelea tunazidi kukusanya ushahidi, na tutakapokamilisha ushahidi tutamfikisha mahakamani

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top