Unknown Unknown Author
Title: ONA UMATI WA WATU LEO WALIVYOMPOKEA LOWASA NAMANGA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha-Wananchi wa Namanga walipomuona LOWASA leo Tizama kilichotokea Mh Edward Lowassa Mjumbe wa kamati kuu wa chama Cha demokrasia...

Picha-Wananchi wa Namanga walipomuona LOWASA leo Tizama kilichotokea

Mh Edward Lowassa Mjumbe wa kamati kuu wa chama Cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) na  Chama kikuu cha Upinzani TANZANIA na Waziri Mkuu mstaafu amesimamishwa na Wananchi wa Namanga Mpakani mwa Tanzania na Kenya . Wananchi wamemueleza Ugumu na ukali wa Maisha walionayo ikiwa ni pamoja na kudorora kwa mzunguko wa fedha mpakani hapo leo hii akiwa safarini Toka Nairobi Kenya alipokwenda kuhudhuria mazishi ya Marehemu Ole Ntimama 


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top