Unknown Unknown Author
Title: SAKATA LA TID KUTUSI WEMA YAIBUKA MENGI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha...

Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitende cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kumkaza msanii wa bongo movie Wema sepetu kitendo ambacho kilifanya baadhi ya mashabiki kujisikia vibaya na kuanza kumzomea

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top