Unknown Unknown Author
Title: Mwanamke ajiuza pamoja na nyumba yake
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwanamke mmoja nchini Indonesia alitambuka kwa jina la  Win Lia(40)  amepata mnunuzi wa nyumba yake pamoja naye mwenyewe baada ya kuweka ta...
Wina Lia, 40, poses outside her house. She is selling the property but has also offered herself up for a potential marriage with it 
Mwanamke mmoja nchini Indonesia alitambuka kwa jina la Win Lia(40) amepata mnunuzi wa nyumba yake pamoja naye mwenyewe baada ya kuweka tangazo mtandaoni kwamba yeyote ambaye angenunua nyumba yake, angepata bakshishi kwa sababu angekuwa ameinunua nyumba pamoja na mwenyewe.

Mwanamke huyo mjane alijitangaza yeye na nyumbayake  mnamo majuma kadhaa yaliyopita, nyumba hiyo ilikuwa ina vyumba viwili vya kulala,bafu mbili,bwawa la samaki,na WIFE kwa  £51,000


  • Tangazo aliloliweka nje ya nyumba yake lilisomeka hivi:, 'Buyers who don't negotiate the price can ask the owner to marry (terms and conditions apply).'

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top