Unknown Unknown Author
Title: ALICHOANDIKA RAYMOND KUHUSU DIAMOND
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Raymond ameendelea kumshukuru bosi wake wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz kwa kile anachomsaidia kupitia muziki wake. Hitmaker huyo wa Nat...
diamond891
Raymond ameendelea kumshukuru bosi wake wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz kwa kile anachomsaidia kupitia muziki wake.
Hitmaker huyo wa Natafuta Kiki, amefunguka kwa kuweka wazi kuwa nguo alizovaa kwenye video ya ‘Kwetu’ na ‘Mugacherere’ zilikuwa za bosi wake huyo.
Kupitia mtandao wa Instagram, Ray Vanny ameandika:
Kwenye Video ya #KWETU Nguo zote Ulinipa wewe!!! #MUGACHERERE Nguo zote ulinipa zako… kiukweli Nimepata tabu nyingi Sana Kwenye Mziki wangu Lakini Niliamini Ipo Siku Namimi Nitaonekana.Nashukuru Mungu Sana Kunikutanisha nawewe Brother Naseeb Asante kwa Moyo Wako wa Upendo Kwangu Ulithamini kwa kidogo nilichonacho Nakuamini Nitaweza kufanya.Safari Bado Ndefu Tutafika Tunapotaka!!! @diamondplatnumz
Bongo5

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top