Unknown Unknown Author
Title: ALICHOANDIKA WEMA BAADA YA ZARI KUPATA MTOTO MWINGINE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior" Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye p...

Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior"

Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye page ya instagram ya Wema Sepetu wakimtolea maneno makali kuwa aendelee kupost picha za watoto wa watu wakati wenzake wanazaa.

Baada ya mwanadada Wema Sepetu kukosa uvumilivu, aliamua na yeye kujibu mapigo usiku wa leo katika account yake ya instagram.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top