Unknown Unknown Author
Title: Habari njema kwa mashabiki wa Arsenal kuhusu Cazorla
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama ni shabiki wa timu ya  Arsenal  ya  England  najua huwezi kufurahishwa na habari zilizoripotiwa leo December 1 2016 kuhusiana na kiun...

Kama ni shabiki wa timu ya Arsenal ya England najua huwezi kufurahishwa na habari zilizoripotiwa leo December 1 2016 kuhusiana na kiungo wa kimataifa wa Hispaniaanayeichezea timu hiyo Santi Cazorla.
Taarifa kutoka BBC zinaeleza kuwa Cazorla atafanyiwa upasujai wa kifundo cha mguu (enka), upasuaji ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu, kiungo huyo hajaichezea Arsenal toka katikati ya mwezo October baada ya ushindi wa Arsenalwa goli 6-0 dhidi ya Ludogorets mchezo wa UEFA.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Cazorla msimu uliyopita alikosa kuichezea Arsenalkwa miezi saba, kutokana na kuwa na jeraha la goti, Cazorla ambaye ameichezea Arsenal mechi 11 na kuifungia magoli mawili katika mashindano yote msimu huu, atafanyiwa upasuaji Sweden wiki ijayo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top