Unknown Unknown Author
Title: HATIMAYE LEO DIAMOND PLATNUM APATA MTOTO WA KIUME
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hatimaye Zari The Bosslady na Diamond wamefanikiwa kumpata prince wa familia aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu kubwa. Mtoto huyo amezaliwa...

zari002



Hatimaye Zari The Bosslady na Diamond wamefanikiwa kumpata prince wa familia aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu kubwa. Mtoto huyo amezaliwa saa 10 na 35 Alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6.
Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini. Tayari Diamond na Zari wameonesha picha za mtoto huyo japo hawajaweka sura yake na bado hawajasema wamemwita jina gani.
zariii
zariii
😍😍😍😍 thanking everyone for your prayers, we are all doing fabulously ok😙,” ameandika Zari.
Naye Diamond ameandika:
diamondiiii22diamondiiii22Tunawapongeza Diamond  na Zari kwa kujaaliwa kupata mtoto wa kiume.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top