Amesema kilichofanyika ni wameweka sehemu ya faida iliyopatikana kama reserve kwa ajii ya wadaiwa wake ili kujiandaa mapema na kama mikopo hiyo itarudishwa basi itarudishwa kama faida na watu wakashindwa kutafsiri
Pia benki hiyo ina mikakati ya kuongeza amana(deposits) za benki kutoka kwa wateja wadogo na wakubwa na hawezi kujiua wenyewe kwa kupunguza matawi.
Amesema mwaka jana pekee wamefungua matawi 70 na kuajiri watu 450 jamboambalo benki nyingi nchini haziwezi kufikia.
Mwaka huu wamepanga kufungua matawi 75 na kuajiri wafanyakazi 460
HATA HIVYO HALI SIO NZURI
CRDB hawajapata actual hasara lakini wameona kuna hasara kubwa inakuja ndio maana wakaweka hiyo provision kwa ajili ya doubtful debts, hii ni prediction kuwa kuna hali ngumu inakuja ya watu kushindwa kurejesha mikopo yao.
So Kimei aikuwa anafanya sweet talking kwa ajili ya kuwapa confidence investors sababu CRDB ni public traded company ila mbele kuna giza.
Post a Comment