Unknown Unknown Author
Title: WIMBO WA DARASA "MUZIKI" WAMFANYA DEREVA KUACHIA USUKANI NA KUCHEZA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kipande cha video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha dereva wa gari la abiria linalofanya safari zake Dodoma –It...



Baada ya kipande cha video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha dereva wa gari la abiria linalofanya safari zake Dodoma –Itigi Singida akifurahia na kucheza wimbo wa Darasa unaoitwa ‘muziki’ huku akiachia usukani, Ayo TV na MillardAyo.com imempata Mratibu mwandamizi wa polisi Singida, Mayala Paul ambapo amethibitisha kukamatwa kwa watu wanne miongoni mwao akiwa ni dereva huyo kwa uzembe barabarani na amesema upelelezi unae
Baada ya kipande cha video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha dereva wa gari la abiria linalofanya safari zake Dodoma –Itigi Singida akifurahia na kucheza wimbo wa Darasa unaoitwa ‘muziki’ huku akiachia usukani, Ayo TV na MillardAyo.com imempata Mratibu mwandamizi wa polisi Singida, Mayala Paul ambapo amethibitisha kukamatwa kwa watu wanne miongoni mwao akiwa ni dereva huyo kwa uzembe barabarani na amesema upelelezi unaendelea.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top