Unknown Unknown Author
Title: ALIKIBA ATOA RATIBA YA TOUR YAKE MAREKANI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao, mkali wa bongo fleva Alikiba, ametangaza ratiba ya tour n...

Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao, mkali wa bongo fleva Alikiba, ametangaza ratiba ya tour nyingine ya Marekani.

Mkali huyo atatumbuiza katika miji ya Las Vegas, Austin, Houston, Minneapolis na Minnesota. Ziara hizo zitaanza March 4 hadi April.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top