Unknown Unknown Author
Title: Alichokisema Lowassa kuhusu kusalimiana na Rais Magufuli
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Rais Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa kukutana  kwa mara ya kwanza katika hafla ya Jubilei ya Dhahabu y...

Baada ya Rais Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa kukutana  kwa mara ya kwanza katika hafla ya Jubilei ya Dhahabu ya miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa na mkewe Anna na kusalimia kwa kushikana mikono ambapo kitendo hicho kilizua mjadala.
Leo August 31 2016 Edward Lowassa alipokuwa mbele ya waaandishi wa habari aliulizwa ni nini walichokiongea na akatoa majibu haya……
>>>’Hatukuongea lolote la msingi zaidi ya kusalimiana na kutakiana heri, tuliahidiana kusalimiana nangojea mawasiliano, mitandao imeandika mengi ya uongo’-



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top