Unknown Unknown Author
Title: Maamuzi mapya ya CHADEMA kuhusu maandamano ya UKUTA Sept 1
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Siku ya kwanza ya mwezi  September 2016  imekua ikitajwa sana kwenye headlines siku za karibuni na ni baada ya chama cha demokrasia na mae...

Siku ya kwanza ya mwezi September 2016 imekua ikitajwa sana kwenye headlines siku za karibuni na ni baada ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutangaza kufanya maandamano nchi nzima, maandamano ambayo hata hivyo vyombo vya dola viliyapiga marufuku.
Baada ya vichwa vyote vya habari na kwamba siku hii Jeshi la Wananchi wa Tanzania limeamua kuitumia kuadhimisha miaka yake 52, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe leo August 31 mbele ya waandishi wa habari Dar es salaam ameyasema yafuatayo.
>> ‘Tunaahirisha mikutano, maandamano UKUTA kwa mwezi mmoja ili kutoa fursa kwa viongozi wa dini kutafuta muafaka-Mbowe‘ – Freeman Mbowe


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top