Unknown Unknown Author
Title: MAMA DIAMOND AFUNGUKA YANAYOMKERA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mama yake mzazi na Staa Diamond Platnumz amefunguka na kuzungumza kinachomkera kwenye mitandao kuhusiana na Diamond Platnumz. Mama huyo kuy...
Image result for DIAMOND NA MAMA YAKE
Mama yake mzazi na Staa Diamond Platnumz amefunguka na kuzungumza kinachomkera kwenye mitandao kuhusiana na Diamond Platnumz.
Mama huyo kuyaongea >>>Sio kwenye magazeti tu hata kwenye instagram kuhusu Diamond amjali Baba yake hawa watu wanaoandika hivyo wananikera sana ninaumia kwani Diamond kila mwezi anapeleka hela ya matumizi kwa Baba yake sasa sijui hayo maneno yanatoka wapi’
‘Mimi na Baba Diamond tunaongea muda mrefu hata ukisema nimpige utamsikia akiongea lakini nashangaa kutwa watu wanasema Naseeb hatoi huduma kwa Baba yake ni habari si za kweli, sasa hivi anakaa Kagera Dar es Salaam na siku hizi mbili nitaenda tena kumpelekea Chakula na nitaipost ili waone’

Source millardayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top