Unknown Unknown Author
Title: Diamond Platnumz alivyokutana na Kevin Hart Marekani
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwimbaji wa bongofleva  Diamond Platnumz  yuko Marekani kwaajili ya kufanya show Los Angeles  September 2 lakini pia kufanya video ya kola...

Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz yuko Marekani kwaajili ya kufanya showLos Angeles September 2 lakini pia kufanya video ya kolabo yake na Neyo ambapo kwenye pitapita zake kakutana na Kevin Hart.
Kevin Hart ameonekana kumpokea vizuri Diamond na hata kwenye video Diamond aliyorekodi mchekeshaji huyu alisalimia Tanzania na kumalizia na utani wa utambulisho wa jina lake.
Hii sio mara ya kwanza kwa Diamond kukutana na mastaa wa dunia kwenye safari zake za Marekani, amekutana nao kadhaa akiwemo Nelly na Kanye West, tazama hii video fupi hapa chini.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top