Tuko kwenye dunia ambayo kila kukicha kuna tafiti mpya au tunakumbushwa yale ambayo tunatakiwa kuyazingatia kila siku kwenye maisha na ninafahamu Watanzania wengi huchelewa kufika nyumbani na hata kula chakula cha jioni.
Kwenye mida ya saa mbili usiku hivi ndio utatukuta mezani lakini Wataalamu wanasema tunakosea kula chakula time hiyo maana chakula kizito mwisho kula ni saa kumi na moja jioni na baada ya hapo ni vile vilainilaini tu.
Unaambiwa kuanzia saa kumi na moja jioni na kuendelea hautakiwi kula chakula kizito bali vile vyepesi tu mfano Juice maji na matunda sababu ukila chakula kizito na kulala muda mfupi baadae kitazuia ufanisi wa msukumo wa damu mwilini na mwisho wa siku ndio tunapata magonjwa ya shinikizo la damu.
Zaidi unaweza kumsikiliza Daktari kwa kubonyeza play hapa chini……
Post a Comment