Wakati madaktari wakisisitiza kupunguza matumizi ya tumbaku ambayo yamekuwa na madhara makubwa kwa afya za watu na kusababisha magonjwa kama vile saratani ya mapafu.
Nchini Kenya wamekuja na sheria ya kudhibiti uuzaji na matumizi ya Sigara ambapo wametunga sheria ambapo moja wapo ni katika manunuzi ya Sigara hizo ambapo wanaotumia Sigara sasa wanatakiwa kununua pakiti nzima ya Sigara na sio moja moja kama ilivyokuwa imezoeleka hapo awali.
Inaonesha mapokezi hayakuwa mazuri kwa watumiaji wengi wakilalamika kushindwa kununua jumla na hii imewekwa makusudi ili kupunguza watumiaji wa Sigara nchini hapo. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.
Post a Comment