Unknown Unknown Author
Title: Mtindo wa kupanda maua kwenye viatu Kenya
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mjasiliamali raia wa Kenya Wanjiru Waweru-Waithaka ameamua kupanda mimea ya maua katika viatu vya plastiki vikuu kuu. Image caption Mimea...
Viatu vya plastiki vimetumiwa kupanda maua
Mjasiliamali raia wa Kenya Wanjiru Waweru-Waithaka ameamua kupanda mimea ya maua katika viatu vya plastiki vikuu kuu.
Maua yamepandwa kwenye viatu vya plastiki
Image captionMimea hii ya maua iliyopandwa kwenye viatu vya plastiki huwavutia wateja wa Bi Wanjiru Waweru-Waithaka
Mwandishi wa BBC Taurai Munda alipiga picha hizi alipozulu Kenya.
Anasema mimea ya maua inayopandwa kwenye viatu vya plastiki vikuu huwafanya wateja wanaotembelea biashara yake ya kuuza vitanda vya watoto , katika mji wa Kikuyu nje ya jiji la Nairobi watabasamu.
Wanjiru Waweru-Waithaka
Image captionMjasiliamali wa Kenya Wanjiru Waweru-Waithaka huuza vitanda vya watoto
Mwandishi wa BBC Taurai Munda alipiga picha hizi alipozulu Kenya.
Anasema mimea ya maua inayopandwa kwenye viatu vya plastiki huwafanya wateja wanaotembelea biashara yake ya kuuza vitanda vya watoto , katika mji wa Kikuyu nje ya jiji la Nairobi watabasamu.
source bbc

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top