Ni video mpya ya msanii TID iitwayo Confidence ambayo amemshirikisha rapper Joh Makini, video imeongozwa na director Travel wa kwetu Studios.ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
video ya TID na Joh Makini ndio hii imetoka
Title: video ya TID na Joh Makini ndio hii imetoka
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni video mpya ya msanii TID iitwayo Confidence ambayo amemshirikisha rapper Joh Makini, video imeongozwa na director Travel wa kw...
Post a Comment