Unknown Unknown Author
Title: Sababu za Master J kuwakataza watoto wake kuingia kwenye muziki
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
September 16 2016 nakukutanisha na hii ya Legendary Producer Master J ameeleza sababu za yeye kuwakataza watoto wake kuingia kwenye soko l...

September 16 2016 nakukutanisha na hii ya Legendary Producer Master J ameeleza sababu za yeye kuwakataza watoto wake kuingia kwenye soko la muziki,  Master J amesema  kweli muziki wa sasa unaweza kukingizia pesa nyingi lakini amewakatataza watoto wake kuimba japo kuwa wana vipaji.
Unajua kwa mtoto wa kike mpaka kweli atoke kwenye huu muziki huwa wanapata shida sana unajua mimi niko kwenye hii indrustry kwahiyo nafahamu kila kitu watoto wa kike wanatumika sana mpaka watoke‘>>> Master J



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top