Unknown Unknown Author
Title: Shetta amtaja staa wa BongoFleva alieosha gari lake
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuna kampeni mpya mjini inaitwa ‘ Usikate Tamaa ‘ iliyoandaliwa na ( MeTL Group ) ambapo msanii wa bongofleva Shetta alikua kwenye desk la...

Kuna kampeni mpya mjini inaitwa ‘Usikate Tamaa‘ iliyoandaliwa na (MeTL Group) ambapo msanii wa bongofleva Shetta alikua kwenye desk la mbele na wakati ikitambulishwa hiyo kampeni kwa Watanzania Shetta akaeleza jinsi ambavyo hakukata tamaa.
Anasema ‘Niliwahi kukutana na kitu ambacho sitosahau katika maisha yangu nilishawahi kuishI na msanii mkubwa sana kipindi kile akiwa na connection, nilishawahi kuosha vyombo, nilishawahi kumuogesha mdogo wake, hayo yote nilikuwa nafanya ili nifanikishe ndoto yangu ya kuwa msanii’
Kuipata stori kamili unaweza kubonyeza play hapa chini kwenye hii video…



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top