Unknown Unknown Author
Title: SONG IITWAYO NISAMEHE YA BARAKA FT KING KIBA KUACHIWA SEPT 13
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni Sept 13, 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili kutoka kwenye kiwanda cha  Bongo Fleva  utagusa headlines za burudani baada ya msanii  ...


Ni Sept 13, 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva utagusa headlines za burudani baada ya msanii Baraka The Prince kuachia single yake mpya aliyomshirikisha msanii Alikiba, wimbo umepewa jina la Nisamehe.
Tarehe hiyo imethibitishwa na Baraka The Prince kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter
The most anticipated collaboration "Nisamehe" will officially be released on 13.9.2016.  x King

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top