Unknown Unknown Author
Title: Tetemeko jingine la ardhi limetokea Bukoba saa 5 kasoro usiku Sept 11
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kagera usiku wa saa tano kasoro September 11 2016 wametoneshwa kidonda baada ya tetemeko dogo kutokea ikiwa ni...

Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kagera usiku wa saa tano kasoro September 11 2016 wametoneshwa kidonda baada ya tetemeko dogo kutokea ikiwa ni ndani ya saa 48 baada ya tetemeko la kwanza lililoua watu 16.
Baada ya tetemeko la pili ambalo bado madhara yake hayajaripotiwa, baadhi ya watu wametoa magodoro ili walale nje wakihofia kutokea tena kwa tetemeko jingine usiku huu na likawakuta ndani ya nyumba.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top