Unknown Unknown Author
Title: ONA MAUNO YA WEMA SEPETU HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameanza kuzunguka kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania na ngoma za vigoma ambapo pia anaitumia hiyo nafasi k...

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameanza kuzunguka kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania na ngoma za vigoma ambapo pia anaitumia hiyo nafasi kutangaza bidhaa za ndala zenye jina lake pamoja na lipstick, ukitaka kuona ilivyokua unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top