Unknown Unknown Author
Title: Fidel Castro afariki dunia
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi Fidel Alejandro Castro Ruz, maarufu kama Fidel Castro amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 90. ...

CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi Fidel Alejandro Castro Ruz, maarufu kama Fidel Castro amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 90.
- Aliiongoza Cuba kama Waziri Mkuu kuanzia mwaka 1959 mpaka 1976 na Kama Rais kuanzia 1976 mpaka 2008 alipomuachia mdogo wake Raul Castro.
Sourcejamiiforum

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top