Unknown Unknown Author
Title: Mwenye jinsia mbili asimulia hali yake
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
November 29 2016 kupitia Leo Tena ya  Clouds FM   Geah Habib ametuletea hekaheka ya mtu mwenye jinsia mbili na anaomba msaada wa kuondoa mo...

November 29 2016 kupitia Leo Tena ya Clouds FM  Geah Habib ametuletea hekaheka ya mtu mwenye jinsia mbili na anaomba msaada wa kuondoa moja
Mtu huyo anasema toka akiwa mdogo amekuwa akiishi maisha kama mwanaume lakini mama yake alimwambia aishi kama mwanamke kutokana na hali za kike ambazo zilikuwa zikimtokea lakini yeye anasema hapendi kuishi kama mwanamke………
>>>’Nakumbuka nilishawahi kununuliwa gauni, ile gauni sikuivaa, baada ya mama kunilazimisha niliichana, kuishi mazingira ya mwanamke siwezi napenda kuwa mwanaume, nilishabahatika kuwa na mwanamke lakini sijawahi kufanikisha kufanya nae tendo la ndoa’ 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top