Unknown Unknown Author
Title: ZIJUE SIRI ZA MATAJIRI HAWA WAKUBWA (SOMA HAPA)
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Matajiri wengi wenye utajiri unaoendelea na kudumu vizazi hata vizazi wana sifa hizi zifuatavyo. 1. Wanafanya kazi kwa  bidii zote  - Sio w...

Matajiri wengi wenye utajiri unaoendelea na kudumu vizazi hata vizazi wana sifa hizi zifuatavyo.
1. Wanafanya kazi kwa bidii zote - Sio wavivu. 
2. Hujali wakati (Mda) zaidi ya fedha - Sio wazembe 
3. Wanadhamiria kufanya kitu 100% (focused) - Hawaruki huku na kule
4. Wanafikiria kwa undani sana kabla ya kutenda jambo. - Hawaogopi kufanya vitu. 
5. Ni watoaji wa fedha- Sio mabahili wa fedha. 
6. Hujishusha ili kujifunza mambo mapya - husikiliza watu wengine. 
Jiulize Kama Una Tabia Hizo. Ukijifunza Tabia Hizo Lazima Utakuwa Tajiri.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top