Unknown Unknown Author
Title: ALICHOSEMA NAHREEL KUHUSU DIAMOND PLATNUM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nahreel  ni msanii wa kundi la  Navy Kenzo  lakini pia ni Producer ambaye mikono yake imehusika kuzisuka hits nyingi tu ikiwemo za  WEUSI...


Nahreel ni msanii wa kundi la Navy Kenzo lakini pia ni Producer ambaye mikono yake imehusika kuzisuka hits nyingi tu ikiwemo za WEUSIVanessa MdeeNavy KenzoShilole na hivi karibuni Nahreel ameingia kwenye headlines za Tanzania baada ya kusema hakupendezwa na maneno ya utambulisho wake kufutwa kwenye beat aliyoitengeneza ya wimbo wa ‘Nana‘ wa Diamond Platnumz ft. Mr Flavour
Nahreel anasema alikiweka hicho kibwagizo kikimtaja kwamba yeye ndio producer wa hiyo beat lakini wimbo ulipotoka hakukisikia sababu kiliondolewa, ikabidi aulize upande wa Diamond imekuaje…. kumsikia mwenyewe na alichoambiwa unaweza kubonyeza playkwenye hii video hapa chini.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top